Kati Ya Google Pixel na Iphone ipi nzuri😀

Hapo ni ngumu sisi kuweza kuchagua upande,Ungesema bajeti Yako tujue tunakushauri vipi na unapendezwa na kitu zaidi

Ingawa simu zote ni za mmarekani,Brand ya Iphone ndio Bora Duniani kote
 
ukitaka kujua simu nzuri kwa kizazi hiki cha mitandao,kabla hujanunua angalia pratform ya hiyo simu kuna vitu lazima uvijue kazi zake.

chipset /procesor hii kazi yake ni wepesi wa kuandika nakufuta,na kazi zingine zoote za kwenye kioo cha simu yako.

CPU hii kazi yake ni kupanga mafaili kufungua na kuyafunga.ukiona unafungua faili na simu inapata moto shida iko hapa.

GPU hii kuediti picha na kazi zingine zinazi hisiana na hizi
.
lakini vyoote hivi vinabebwa na chipset./gaming procesor.ambaya kwa iphone wao wanatumia BIONIC yaani ni tofauti kabisa na zingine zoote kwenye simu ulizozizoea.
sasa hiyo google pix yako inaendana na chipset ya nokia ambaya ni snapdragon. hivyo kuifananisha pix na iphone umeikosea ipbone.labda iphone ya kichina.
 
Google Pixel siku hizi hazitumii Snapdragon, wana processor zao za Google Tensor
Pia Snapdragon ni bora kuliko Bionic A za Apple
 
Back
Top Bottom