Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Haalland keshafunga magoli magumu pia sehemu nyingi sana. Mfuatilie vizuri hata kabla hajaenda Dortmund keshaprove. Victor naye ni mshambuliaji mzuri ila kwa Haalland anasubiri sana kwa sababu umachachari wake haufikii hata robo ya uhatari wa Haalland.Watu wengi naamini hamjamtazama osimhen au hamjui mpira.. haaland anafunga magoli mepesi sana, hana uwezo kwenye 1 vs 1 , pia haaland team yake ikidhibitiwa anaweza hata kutogusa kabisa mpira .
Nashauri angalieni game za napoli muone hili jamaa ni [emoji91]
Kwani katika timu tatu zote alizocheza kabla ya Man City zilikua na playmakers wazuri. Yan kwamba yale magoli 25+ katika misimu mitatu akiwa Salzburg na akiwa Dortmund ni playmakers peke yake? Haaland ni hatari Victor ni machachari tuHapo itategemea na aina ya timu uliyonayo. Kama timu yako ina playmakers wazuri basi utamchukua Haaland maana utakua unahitaji finisher tu,ila kama timu yako inahitaji kupata magoli ya kupambana Victor Osimhen ni chaguo sahihi.
Nenda kaangalie squad ya Dortmund na RB Salzburg wakati wa HaalandKwani katika timu tatu zote alizocheza kabla ya Man City zilikua na playmakers wazuri. Yan kwamba yale magoli 25+ katika misimu mitatu akiwa Salzburg na akiwa Dortmund ni playmakers peke yake? Haaland ni hatari Victor ni machachari tu
Kaangalie kikos cha salzburg na dortmound na ligi zao ni lazima afunge tuKwani katika timu tatu zote alizocheza kabla ya Man City zilikua na playmakers wazuri. Yan kwamba yale magoli 25+ katika misimu mitatu akiwa Salzburg na akiwa Dortmund ni playmakers peke yake? Haaland ni hatari Victor ni machachari tu
Point yangu ni kwamba si wakati wote Haaland anahitaji squad imara yule dogo ni mafia hata angekua kwenye kikosi cha Napoli nakuhakikishia bado angekua na magoli mengi kuzidi hata aliyonayo Victor kwa sasa.Nenda kaangalie squad ya Dortmund na RB Salzburg wakati wa Haaland
Huyu Victor subiri watu wajichanganye timu wamlete EPL utaona kama ataweza kufunga kama anavyofanya kwenye Seria A.Kaangalie kikos cha salzburg na dortmound na ligi zao ni lazima afunge tu
Utabiri huoHuyu Victor subiri watu wajichanganye timu wamlete EPL utaona kama ataweza kufunga kama anavyofanya kwenye Seria A.
Kwahiyo wewe ulitaka tumchague Osi.?Watu wengi naamini hamjamtazama osimhen au hamjui mpira.. haaland anafunga magoli mepesi sana, hana uwezo kwenye 1 vs 1 , pia haaland team yake ikidhibitiwa anaweza hata kutogusa kabisa mpira .
Nashauri angalieni game za napoli muone hili jamaa ni [emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jini Haaland likisimama mbele tu ,defenders wote wanaachia uparato.