Kati ya haaland na osimhen unamchukua nani?

Watu wengi naamini hamjamtazama osimhen au hamjui mpira.. haaland anafunga magoli mepesi sana, hana uwezo kwenye 1 vs 1 , pia haaland team yake ikidhibitiwa anaweza hata kutogusa kabisa mpira .

Nashauri angalieni game za napoli muone hili jamaa ni [emoji91]
Haalland keshafunga magoli magumu pia sehemu nyingi sana. Mfuatilie vizuri hata kabla hajaenda Dortmund keshaprove. Victor naye ni mshambuliaji mzuri ila kwa Haalland anasubiri sana kwa sababu umachachari wake haufikii hata robo ya uhatari wa Haalland.

Fuatilia vizuri
 
Hapo itategemea na aina ya timu uliyonayo. Kama timu yako ina playmakers wazuri basi utamchukua Haaland maana utakua unahitaji finisher tu,ila kama timu yako inahitaji kupata magoli ya kupambana Victor Osimhen ni chaguo sahihi.
Kwani katika timu tatu zote alizocheza kabla ya Man City zilikua na playmakers wazuri. Yan kwamba yale magoli 25+ katika misimu mitatu akiwa Salzburg na akiwa Dortmund ni playmakers peke yake? Haaland ni hatari Victor ni machachari tu
 
Nenda kaangalie squad ya Dortmund na RB Salzburg wakati wa Haaland
 
Kaangalie kikos cha salzburg na dortmound na ligi zao ni lazima afunge tu
 
Nenda kaangalie squad ya Dortmund na RB Salzburg wakati wa Haaland
Point yangu ni kwamba si wakati wote Haaland anahitaji squad imara yule dogo ni mafia hata angekua kwenye kikosi cha Napoli nakuhakikishia bado angekua na magoli mengi kuzidi hata aliyonayo Victor kwa sasa.
 
Jini Haaland likisimama mbele tu ,defenders wote wanaachia uparato.
 
Watu wengi naamini hamjamtazama osimhen au hamjui mpira.. haaland anafunga magoli mepesi sana, hana uwezo kwenye 1 vs 1 , pia haaland team yake ikidhibitiwa anaweza hata kutogusa kabisa mpira .

Nashauri angalieni game za napoli muone hili jamaa ni [emoji91]
Kwahiyo wewe ulitaka tumchague Osi.?
Haaland kamzidi Sana huyo dogo
 
Jini Haaland likisimama mbele tu ,defenders wote wanaachia uparato.
[emoji23] [emoji23] umenikumbusha zaman hilo neno (uparato) utakua unatokea maeneo ya nyakato mwanza ww
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Back
Top Bottom