Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Swali hili nimejiuliza baada ya kuona mawakili wanavyowaheshimu mahakimu. Tena Hakimu anaitwa mheshimiwa.
Wako mahakimu ambao humaliza Diploma zao huko chuoni Tanga na kuingia kazini. Mawakili ninavyojua lazima wahitimu shahada kisha wakasome tena shule ya uwakili.
Wataalam nijuzeni