fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Shoga
🤣🤣Huyu atachafua ndege zangu
NAKAZIA laana ya kuwatukana waalimuMwamba kashaleft grupu ...
Hana kijaambio.. akijisahau anajinyeaAnayetukana na kudharirisha walimu kula saa na kusema anabadilisha viwanja kumbe nduo huyo. Bro Mpwayungu Village kumbe beki hazikabi hapo nyuma.
Hawa wote wana body za mazoezi wote wanaenda gym
Ebu tusubiri wadada waje watuambie yupi wanapenda kifua chake ili na mimi niende mazoezini nijue niendelee kupendwa na pisi Kali tuendelee kuwatafuna maana wadada ni maua wapo kwaajiri yetu View attachment 2743093View attachment 2743095
Hii nchi kuna akili za hovyo sana 🤔🤔🤔Hawa wote wana body za mazoezi wote wanaenda gym