Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume unaulizia vifua vya wanaume wenzio? Wanaume kamili tunaisha sana aiseeHawa wote wana body za mazoezi wote wanaenda gym
Ebu tusubiri wadada waje watuambie yupi wanapenda kifua chake ili na mimi niende mazoezini nijue niendelee kupendwa na pisi Kali tuendelee kuwatafuna maana wadada ni maua wapo kwaajiri yetu View attachment 2743093View attachment 2743095
Hawa wote wana body za mazoezi wote wanaenda gym

Umekosa cha kupost hadi umefikia hatua ya kupenda vifua vya wanaume?
kweli Dunia inakwenda kasi sana!
Labda nikumbushe tu; Sio lazima kupost kila siku!
Mwanaume unatamani kifua Cha mwanaume mwenzio?
Wewe utakuwa James delicious
Dah man down, I repeat ubingwa nehi nehi😁😂Chuma kimelia😁
Jamaa ni dunya, leo kadhihirisha kuwa ni papaiAlieanzisha huu uzi ni mwanaume kweli?Mpwayu umeniangusha kwa hili.
Gajahahaaa khaaaa wale 22 to 30 wako wapiii? Upuuzi huuuu....Hawa wote wana body za mazoezi wote wanaenda gym
Ebu tusubiri wadada waje watuambie yupi wanapenda kifua chake ili na mimi niende mazoezini nijue niendelee kupendwa na pisi Kali tuendelee kuwatafuna maana wadada ni maua wapo kwaajiri yetu View attachment 2743093View attachment 2743095
Hawa wote wana body za mazoezi wote wanaenda gym
Ebu tusubiri wadada waje watuambie yupi wanapenda kifua chake ili na mimi niende mazoezini nijue niendelee kupendwa na pisi Kali tuendelee kuwatafuna maana wadada ni maua wapo kwaajiri yetu View attachment 2743093View attachment 2743095
Kweli kabisa kakaHarmonize ana mambo ya kichoko, tabia za kike na za kimaskini sana (usitishike na mwili wa mtu).
Wewe uwezi kuona mwenzako (Hamisa) yupo kwenye mapenzi yake anayo yatangaza hadharani yanamfurahisha. Halafu wewe kipindi hiko ukatoa nyimbo zako za kumuelezea mapenzi yako yambali kwake na kumpa changamoto wakati mwenzako ana mpenzi wake ambae yupo mbali.
Kwanini usifanye huo ushenzi wako kimya, wakati jamaa yake hajui. Hizi ni tabia za kike ambazo zipo bongo tu (its disrespectful).
Binafsi waluga luga kama hawa wananikera kweli.
Hizo ni tabia za kimaskini tu.
Duh! HayaMimi kama cha diamond
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kutwa uko kufuatilia kapost nn, kazi unayooo.Wewe mkundru [emoji867]unatukera nyamaza ban mgese kweli
Kwahiyo mnachambana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kutwa uko kufuatilia kapost nn, kazi unayooo.
Nakanifollow pia huwa anasubscribe nyuzi zangu zote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kutwa uko kufuatilia kapost nn, kazi unayooo.