Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Kweli haiwezekani mwanaume kuanzisha uzi wa uzuri wa vifua vya wanaume wengineUshoga unakua kwa kasi sana
Mpwayungu ßhoga??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli haiwezekani mwanaume kuanzisha uzi wa uzuri wa vifua vya wanaume wengineUshoga unakua kwa kasi sana
Inasikitisha sana.Hawa wote wana body za mazoezi wote wanaenda gym
Ebu tusubiri wadada waje watuambie yupi wanapenda kifua chake ili na mimi niende mazoezini nijue niendelee kupendwa na pisi Kali tuendelee kuwatafuna maana wadada ni maua wapo kwaajiri yetu View attachment 2743093View attachment 2743095
Ndugu yangu habari za Dubai? Mimi nimekuja Tanzania kufuatilia bandari zangu nilizopewa, vipi wewe pale Ngorongoro umesha kabidhiwa hati?Lost
Ila wewe una vitukoHawa wote wana body za mazoezi wote wanaenda gym
Ebu tusubiri wadada waje watuambie yupi wanapenda kifua chake ili na mimi niende mazoezini nijue niendelee kupendwa na pisi Kali tuendelee kuwatafuna maana wadada ni maua wapo kwaajiri yetu View attachment 2743093View attachment 2743095
Sio yy maana hizi mada za kuwasifia wanaume wenzake ni balaaaIla mna hakika hii ni account ya mpwayu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
NB: Aacha kumfananisha Kiba na vitu vya ajabu!!!
Apumzike kwa amani tu!Mwendo umeumaliza muwaha.
Eti dada tehteh!Sasa dada angu, ungeanza kupiga kura wewe
Mkuu hivi wewe ni shoga?, Mbona kama nyuzi zako huwa sikuelewi, unaanzaje kutamani kifua cha mwanaume mwenzako. Aaakhrrrr unakera banaHawa wote wana body za mazoezi wote wanaenda gym
Ebu tusubiri wadada waje watuambie yupi wanapenda kifua chake ili na mimi niende mazoezini nijue niendelee kupendwa na pisi Kali tuendelee kuwatafuna maana wadada ni maua wapo kwaajiri yetu View attachment 2743093View attachment 2743095
Kwa kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tupo kwenye mlima mrefu kuuvuka upumbavu dear, yani mijitu migumu sana kuelewa
Wapi nimetamani kaka umesoma uzi wote au umekuja mazima kunipa majunguMkuu hivi wewe ni shoga?, Mbona kama nyuzi zako huwa sikuelewi, unaanzaje kutamani kifua cha mwanaume mwenzako. Aaakhrrrr unakera bana