Kati ya Harmonize, Alikiba na Diamond yupi mwenye kifua kizuri

Kati ya Harmonize, Alikiba na Diamond yupi mwenye kifua kizuri

Hawa wote wana body za mazoezi wote wanaenda gym

Ebu tusubiri wadada waje watuambie yupi wanapenda kifua chake ili na mimi niende mazoezini nijue niendelee kupendwa na pisi Kali tuendelee kuwatafuna maana wadada ni maua wapo kwaajiri yetu

Hawa wote wana body za mazoezi wote wanaenda gym

Ebu tusubiri wadada waje watuambie yupi wanapenda kifua chake ili na mimi niende mazoezini nijue niendelee kupendwa na pisi Kali tuendelee kuwatafuna maana wadada ni maua wapo kwaajiri yetu View attachment 2743093View attachment 2743095
Naona nomah kuzungumzia vifua vya wanaume wenzangu.

Ila nikianza Gym bas niwe na Chest kama cha Kiba mwili wake mwamba umebalance ileile yaan🙌
 
Khaaa mkuu kwani account yako anatumia mke wako au ninani

Mbona kama unafosi kutrend Jf tena kwa njia isiyo pendeza wala
...kuna kitu kinaitwa udukuzi wa akaunti...
 
Mwanaume unatamani kifua Cha mwanaume mwenzio?

Wewe utakuwa James delicious
 
Back
Top Bottom