instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sioni baya hapoSema hili jina halikufai tena mkuu...
Acha kutumia jina la kijiji kizima
shkamoo dada...Ila mna hakika hii ni account ya mpwayu🤣🤣🤣🤣
NB: Aacha kumfananisha Kiba na vitu vya ajabu!!!
Hawa wote wana body za mazoea wote wanaenda Jim
Ebu tusubiri wadada waje watuambie yupi wanapenda kifua chake ili namm niende mazoezini nijue niendelee kupendwa na pisi Kali tuendelee kuwatafuna maana wadada ni maua wapo kwaajir yetu View attachment 2743093View attachment 2743095