Kati ya Harmonize, Alikiba na Diamond yupi mwenye kifua kizuri

Hawa wote wana body za mazoezi wote wanaenda gym

Ebu tusubiri wadada waje watuambie yupi wanapenda kifua chake ili na mimi niende mazoezini nijue niendelee kupendwa na pisi Kali tuendelee kuwatafuna maana wadada ni maua wapo kwaajiri yetu View attachment 2743093View attachment 2743095

Umekosa cha kupost hadi umefikia hatua ya kupenda vifua vya wanaume?
kweli Dunia inakwenda kasi sana!
Labda nikumbushe tu; Sio lazima kupost kila siku!
 
Mwanaume unatamani kifua Cha mwanaume mwenzio?

Wewe utakuwa James delicious
 
Harmonize ana mambo ya kichoko, tabia za kike na za kimaskini sana (usitishike na mwili wa mtu).

Wewe uwezi kuona mwenzako (Hamisa) yupo kwenye mapenzi yake anayo yatangaza hadharani yanamfurahisha. Halafu wewe kipindi hiko ukatoa nyimbo zako za kumuelezea mapenzi yako yambali kwake na kumpa changamoto wakati mwenzako ana mpenzi wake ambae yupo mbali.

Kwanini usifanye huo ushenzi wako kimya, wakati jamaa yake hajui. Hizi ni tabia za kike ambazo zipo bongo tu (its disrespectful).

Binafsi waluga luga kama hawa wananikera kweli.

Hizo ni tabia za kimaskini tu.
 
Kweli kabisa kaka
 
Back
Top Bottom