Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,079
- 4,893
Rais Atatoka Sukuma Gang wameanza Mashambulizi kupitia Tozo na Chanjo SpikaNaamini hapa jf pana watu wenye uelewa na upeo mkubwa sana wa kuchanganua mambo.
Mawazo yanayotolewa hapa yanaweza kuvifungua macho vyama vya siasa juu ya nani wamsimamishe kama mgombea kutokana na kuonwa na macho ya wachambuzi wa mambo.
Ifuatayo ni orodha ya majina ya watu ambao wanafaa kufikiriwa na vyama vyao kwa ajili ya uteuzi wa kuwania urais wa Tanzania
1. Tundu Lisu
2. Zito Kabwe
3. Sulemani Jafo
4. Mwigilu Nchemba
5. Freeman Mbowe
6. Luhaga Mpina
7. Mohammed Dewij.
8. Ummy Mwalim.
9. Anthony Mtaka.
10. Magdalena Sakaya.
Haya ni baadhi ya majina ambayo vyama vinaweza kuanza kuya highlit.
Ni kwa bahati mbaya wanasiasa wengi toka Kambi ya upinzani sio maarufu miongoni mwa watanzania na wakati mwingine hua vinachukua toka wale waliokwama ccm, ndio maana hata majina yao hapa sio mengi.
Hamna hata mmoja hapo...ummy mwalimu??? Dah
January MakambaHakuna hata mmoja, panga mkeka mwingine.
Naamini hapa jf pana watu wenye uelewa na upeo mkubwa sana wa kuchanganua mambo.
Mawazo yanayotolewa hapa yanaweza kuvifungua macho vyama vya siasa juu ya nani wamsimamishe kama mgombea kutokana na kuonwa na macho ya wachambuzi wa mambo.
Ifuatayo ni orodha ya majina ya watu ambao wanafaa kufikiriwa na vyama vyao kwa ajili ya uteuzi wa kuwania urais wa Tanzania
1. Tundu Lisu
2. Zito Kabwe
3. Sulemani Jafo
4. Mwigilu Nchemba
5. Freeman Mbowe
6. Luhaga Mpina
7. Mohammed Dewij.
8. Ummy Mwalim.
9. Anthony Mtaka.
10. Magdalena Sakaya.
Haya ni baadhi ya majina ambayo vyama vinaweza kuanza kuya highlit.
Ni kwa bahati mbaya wanasiasa wengi toka Kambi ya upinzani sio maarufu miongoni mwa watanzania na wakati mwingine hua vinachukua toka wale waliokwama ccm, ndio maana hata majina yao hapa sio mengi.
Gwajima anaupiga mwingi CCM lazima wampitishe eti ndio mrithi wa JPM.Majaaliwa ndo muhusika mkuu,afu hujamweka katika orodha.Kweli nimeamin ajae hatotambulika kama ambavyo alikuwa hatambuliki magufuli
Kama umewahi kufanya kazi Kampuni yeyote ya Mo ungeacha kabisa huu upambe..
Mtu analipa watu mishahara ya laki mbili ..
Unakuja kumpigia Debe urais?
Anataka mawaziri waanze kulipwa "seven hundred" watengeneze voice note wanalia🤣
Gwajima anaupiga mwingi CCM lazima wampitishe eti ndio mrithi wa JPM.
OoohoooniAstaghfirulahi...