Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 28,916 Reaction score 40,479 Mar 30, 2020 #1 Habarini Wadau wa michezo, Nimeona hili Goal.com wameliuliza kule tweeter, binafsi ninawakubali zaidi hawa vinara wa Ufaransa kuliko wahispania Mtazamo wako ukoje? Na kwanini? Naamini hivi: Barthez bora kuliko De Gea Varane bora kuliko Ramos Zidane bora kuliko Xavi ILA, Raul bora kuliko Mbappe Iniesta bora kuliko Thiery Henry Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini Wadau wa michezo, Nimeona hili Goal.com wameliuliza kule tweeter, binafsi ninawakubali zaidi hawa vinara wa Ufaransa kuliko wahispania Mtazamo wako ukoje? Na kwanini? Naamini hivi: Barthez bora kuliko De Gea Varane bora kuliko Ramos Zidane bora kuliko Xavi ILA, Raul bora kuliko Mbappe Iniesta bora kuliko Thiery Henry Sent using Jamii Forums mobile app
mugah di matheo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 6,307 Reaction score 12,410 Mar 30, 2020 #2 Wewe jamaa aliye kuloga labda alikufutia na Chupi yake Ivi fundi kama Xavii ulishawahi kumuona au kumsikia wapi duniani had umfananishe na hiyo mberber nduguye Wawa? Umemkosea heshima Xavii kabisa
Wewe jamaa aliye kuloga labda alikufutia na Chupi yake Ivi fundi kama Xavii ulishawahi kumuona au kumsikia wapi duniani had umfananishe na hiyo mberber nduguye Wawa? Umemkosea heshima Xavii kabisa