Kati ya hawa Wanasoka wapi wametengeneza safu nzuri?

Kati ya hawa Wanasoka wapi wametengeneza safu nzuri?

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
28,916
Reaction score
40,479
Habarini Wadau wa michezo,

Nimeona hili Goal.com wameliuliza kule tweeter, binafsi ninawakubali zaidi hawa vinara wa Ufaransa kuliko wahispania

Mtazamo wako ukoje? Na kwanini?

Naamini hivi:

Barthez bora kuliko De Gea

Varane bora kuliko Ramos

Zidane bora kuliko Xavi

ILA, Raul bora kuliko Mbappe

Iniesta bora kuliko Thiery Henry

Screenshot_20200330-183816.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa aliye kuloga labda alikufutia na Chupi yake
Ivi fundi kama Xavii ulishawahi kumuona au kumsikia wapi duniani had umfananishe na hiyo mberber nduguye Wawa?
Umemkosea heshima Xavii kabisa
 
Back
Top Bottom