Kati ya hawa yupi ana unafuu?

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Giggy Money na Faiza (mke wa zamani wa Sugu) wote tunajua kwamba madishi yao yamecheza, wana uwezo wa kufanya chochote kitachokufanya ubaki mdomo wazi kwa nia tu ya kupata umaarufu, je yupi kati ya hao ana unafuu? Mi naona ngoma droo
 
Mmhhhh ila giggy money naona kama kazidi kuranduka..
 
Faiza mkuu.. giggy money mpe miez miwil tu atabk history.. hajafikia uchiz wa faiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…