Kati ya haya Mawili kipi ni Bora zaidi?

Kati ya haya Mawili kipi ni Bora zaidi?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Nina Sebule kubwa nmemaliza Ujenzi nataka week hii nifunge AC. Nlikuwa naomba ushauri kwenu.

Kipi Bora.
1. Kuweka ACs mbili ambazo kila moja ni BTU 12 au

2. Kuweka moja tu yenye BTU 22?

Sebule ni kubwa na nataka yote igeuke kuwa Mbeya au Iringa. Yaani ipigwe baridi hasa ikiwezekana hata mtu akiiingia sebuleni kwangu awe anavaa sweater au jacket. (hapo nimechomekea tu)
 
Hapo funga Ac 2 mkuu
 
mbili sebule yote hazitoshi weka mbili kwa kila ukuta. kama sebule ina kuta nne, weka ac nane
 
Dar es salaam. Sijapima mita ila ni kubwa sana
Mkuu lazima ukubwa ujulikane ili upate ushauri mzuri.. Kama huna tepu Pima urefu na upana wa sebule yako ni hatua ngapi? Ila hatua ziwe ndefu kidogo ili zikaribiane na mita moja...
 
Back
Top Bottom