Kati ya haya Mawili kipi ni Bora zaidi?

Kati ya haya Mawili kipi ni Bora zaidi?

Nikikumbuka kuna kipindi nikitema mate DAMU, nikikohoa DAMU... hua sina hamu ya AC kabisa. Kifupi AC inakupa COLD DRY AIR ambayo inaenda ku dehydrate mfumo wako wa upumuaji. Kua makini jamaa yangu.
 
Hapo kaa
UPO VERY SMART NA UNAJIELEWA SANA. NASHUKURU KWA MASAHIHISHO. HIYO 6 ni nini na 4 ni nini?

Nikikumbuka kuna kipindi nikitema mate DAMU, nikikohoa DAMU... hua sina hamu ya AC kabisa. Kifupi AC inakupa COLD DRY AIR ambayo inaenda ku dehydrate mfumo wako wa upumuaji. Kua makini jamaa yangu.
Ila Kuna namna ya kuset ili kupunguza ubaridi UNAWEZA ukaset pale degree of centigrade unayotaka
 
Kama sebule iko sealed haina haja kufunga kubwa sana
 
Nikikumbuka kuna kipindi nikitema mate DAMU, nikikohoa DAMU... hua sina hamu ya AC kabisa. Kifupi AC inakupa COLD DRY AIR ambayo inaenda ku dehydrate mfumo wako wa upumuaji. Kua makini jamaa yangu.
What real happened? Miaka zaidi ya 20 natumia AC daily
 
funga mbili ila zitazamane moja unaweka kaskazini moja kusini

hata siku ikibuma inabuma moja, nyingine inapiga mzigo
 
Kama ukinitajia Vipimo sahihi vya Sebule yako (Urefu na Upana) nitakupatia Ushauri sahihi sana.

Pia ningependa kufahamu hiyo Sebule ni closed ama ni Open? Hapa namaanisha inajitegemea yenyewe au imeungana na Corridor, Dinnig n.k?
Ina corridor but kuna milango ili kufika Dining na kuingia corridor nyingine
 
Mkuu lazima ukubwa ujulikane ili upate ushauri mzuri.. Kama huna tepu Pima urefu na upana wa sebule yako ni hatua ngapi? Ila hatua ziwe ndefu kidogo ili zikaribiane na mita moja...
Sawa nitapima ntatoa majibu. 🙏
 
Yaani mtu ujue vipimo vya btu za ac,Ila usijue vipimo vya square mita!!?
 
mtu mwenyewe mna mshauri nichizi mnategemea nini. sema dishi leo limetulia kawaza kitu chamaana kidogo. chizi unaelekea kupona kamilisha dozi.... ngoja nisubiri majibu ya hizi nimekaa paleeeee
 
Back
Top Bottom