Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Dar es salaam. Sijapima mita ila ni kubwa sanaSembule yako ni mita ngapi na uko mkoa gani?
Mita kama 24 plus hivi nimemuuliza fundi. Hapo ni sq meterUkubwa wa sebule upoje!?
Elimu yako!!Mita kama 24 plus hivi nimemuuliza fundi. Hapo ni sq meter
Your mom didnt even bother to ask this.😂Elimu yako!!
Hahahahhahahahaa 24sqM? Are you serious?Mita kama 24 plus hivi nimemuuliza fundi. Hapo ni sq meter
Hapo funga Ac 2 mkuuNina Sebule kubwa nmemaliza Ujenzi nataka week hii nifunge AC. Nlikuwa naomba ushauri kwenu.
Kipi Bora.
1. Kuweka ACs mbili ambazo kila moja ni BTU 12 au
2. Kuweka moja tu yenye BTU 22?
Sebule ni kubwa na nataka yote igeuke kuwa Mbeya au Iringa. Yaani ipigwe baridi hasa ikiwezekana hata mtu akiiingia sebuleni kwangu awe anavaa sweater au jacket. (hapo nimechomekea tu)
Itakuwa (6 x 4)mHahahahhahahahaa 24sqM? Are you serious?
Yes, hapo sawaItakuwa (6 x 4)m
Hahahahhahahahaa 24sqM? Are you serious?
UPO VERY SMART NA UNAJIELEWA SANA. NASHUKURU KWA MASAHIHISHO. HIYO 6 ni nini na 4 ni nini? Darasa kidogoItakuwa (6 x 4)m
Za ukubwa huo wa BTU 12 ?Hapo funga Ac 2 mkuu
mbili sebule yote hazitoshi weka mbili kwa kila ukuta. kama sebule ina kuta nne, weka ac naneNina Sebule kubwa nmemaliza Ujenzi nataka week hii nifunge AC. Nlikuwa naomba ushauri kwenu.
Kipi Bora.
1. Kuweka ACs mbili ambazo kila moja ni BTU 12 au
2. Kuweka moja tu yenye BTU 22?
Sebule ni kubwa na nataka yote igeuke kuwa Mbeya au Iringa. Yaani ipigwe baridi hasa ikiwezekana hata mtu akiiingia sebuleni kwangu awe anavaa sweater au jacket. (hapo nimechomekea tu)
Mkuu lazima ukubwa ujulikane ili upate ushauri mzuri.. Kama huna tepu Pima urefu na upana wa sebule yako ni hatua ngapi? Ila hatua ziwe ndefu kidogo ili zikaribiane na mita moja...Dar es salaam. Sijapima mita ila ni kubwa sana
Hiyo ni roughly mita 5 kwa 4.5 mkuu [emoji23] [emoji23]Elimu yako!!
Ukizidisha 5m mara 5m =25sqm...Hahahahhahahahaa 24sqM? Are you serious?
6 ni urefu wa sebule na 4 ni upana wa sebule..UPO VERY SMART NA UNAJIELEWA SANA. NASHUKURU KWA MASAHIHISHO. HIYO 6 ni nini na 4 ni nini? Darasa kidogo