Kati ya hizi biashara ni ipi inayolipa?

Kati ya hizi biashara ni ipi inayolipa?

CELLULAIRE

Member
Joined
Mar 16, 2016
Posts
76
Reaction score
97
  • Kumiliki bajaji
  • Kumiliki pikipiki (boda boda)
  • Kuanzisha blogu
  • Kuanzisha gazeti la uchunguzi tu pekee
  • Kuanzisha huduma ya chakula mama lishe
  • Kumiliki daladala
  • Kumiliki vikirikuu vya kubeba mizigo mbalimbali masokoni
 
ungeitolea maelezo hiyo namba 5 yako ingependeza sana mkuu kwani sihitaji tu nifaidike peke yangu bali nataka tufaidike wote humu kwa uzoefu wako.
kwasasa sina muda mzuri wa kuelezea
 
  • Kumiliki bajaji
  • kumiliki pikipiki ( boda boda )
  • kuanzisha blogu
  • kuanzisha gazeti la uchunguzi tu pekee
  • kuanzisha huduma ya chakula mama lishe
  • kumiliki daladala
  • kumiliki vikirikuu vya kubeba mizigo mbalimbali masokoni
blog inalipa ukiw siriaz
 
Mkuu Biashara inayolipa ni ile biashara yoyote utakayoifanya kwa kuipenda, kuijali, kuithamini , kujituma, kuwa mvumilivu, kuwa mbunifu, kwa maarifa na ujuzi juu ya biashara hiyo na vilevile bila kusahau kuwa na busara maana ni jambo ambalo weng huwa tunasahau na kwa hakika basi lazima itakulipa.
 
ZOTE APO ZINALIPA , SI KUNA WATU WANAZIFANYA NA WANAISHI KWA KUPITIA IZO, TATIZO LAKO HUNA IMANI , ULITAKIWA UJUE DUNIANI AMNA BIASHARA NZURI ZAIDI YA INGINE, BISHARA KUA NZURI INATEGEMEA NA DHAMIRA YAKO , KUJITUMA, KUWEKA MALENGO MAZURI, unatakiwa useme mm nachagua bishara hii nataka baada ya mda flan niweke naongoza labda mtaani kwangu kwa hii bishara, labda mfano usafiri,utaweka dhamira kua nataka huu mwaka ukiisha niwe naongoza kwa huduma za usafiri apa mtaani kwetu au mkoani, apo ndio utakua unapata mafanikio mazuri, baada ya hapo unaeza kuongeza huduma zako za usafiri labda unataka ukanda wa kusini uwe unafanya vizuri kwenye usafiri baadae tanzania na east africa ukipenda: tatizo lako unataka kuruka kwenye faida kubwa bila kuanza kidogo!

1 + 1 = 2: ukitaka kufikia mbili lazima uchange 1 mpaka zikae mbii
 
kivipi mkuu hebu elezea basi kidogo ili wengine tuweze kupata angalau mwanga wake.
blog inalipa but kma utakuwa mvumilivu na una idea ya hiyo kitu blog inalipa saana lakini si kazi ya kufanya leo kesho upate pesa ila ukikomaa unapata pesa maana skuizi watu tuna jiajili kabisa na blog kma mm nlianza kazi mwak 2015 kma part time yangu tuu na nimewai kulipwa 2800 US dolla kwa mwezi.najua nivigumu kueleza hapa but kama utataka ushaul ni cheki 0713861568 ntakpa maelezo free na hata ukiitaji blog maana skuiz kupost kwenye blog yko si lazma uwe na computer unatumia ata cm kwa kutumia program rafik ya bloger mahala popote
 
Blog ina tofauti na website?
 
Back
Top Bottom