ZOTE APO ZINALIPA , SI KUNA WATU WANAZIFANYA NA WANAISHI KWA KUPITIA IZO, TATIZO LAKO HUNA IMANI , ULITAKIWA UJUE DUNIANI AMNA BIASHARA NZURI ZAIDI YA INGINE, BISHARA KUA NZURI INATEGEMEA NA DHAMIRA YAKO , KUJITUMA, KUWEKA MALENGO MAZURI, unatakiwa useme mm nachagua bishara hii nataka baada ya mda flan niweke naongoza labda mtaani kwangu kwa hii bishara, labda mfano usafiri,utaweka dhamira kua nataka huu mwaka ukiisha niwe naongoza kwa huduma za usafiri apa mtaani kwetu au mkoani, apo ndio utakua unapata mafanikio mazuri, baada ya hapo unaeza kuongeza huduma zako za usafiri labda unataka ukanda wa kusini uwe unafanya vizuri kwenye usafiri baadae tanzania na east africa ukipenda: tatizo lako unataka kuruka kwenye faida kubwa bila kuanza kidogo!
1 + 1 = 2: ukitaka kufikia mbili lazima uchange 1 mpaka zikae mbii