CELLULAIRE
Member
- Mar 16, 2016
- 76
- 97
kwasasa sina muda mzuri wa kuelezeaungeitolea maelezo hiyo namba 5 yako ingependeza sana mkuu kwani sihitaji tu nifaidike peke yangu bali nataka tufaidike wote humu kwa uzoefu wako.
blog inalipa ukiw siriaz
- Kumiliki bajaji
- kumiliki pikipiki ( boda boda )
- kuanzisha blogu
- kuanzisha gazeti la uchunguzi tu pekee
- kuanzisha huduma ya chakula mama lishe
- kumiliki daladala
- kumiliki vikirikuu vya kubeba mizigo mbalimbali masokoni
blog inalipa ukiw siriaz
blog inalipa but kma utakuwa mvumilivu na una idea ya hiyo kitu blog inalipa saana lakini si kazi ya kufanya leo kesho upate pesa ila ukikomaa unapata pesa maana skuizi watu tuna jiajili kabisa na blog kma mm nlianza kazi mwak 2015 kma part time yangu tuu na nimewai kulipwa 2800 US dolla kwa mwezi.najua nivigumu kueleza hapa but kama utataka ushaul ni cheki 0713861568 ntakpa maelezo free na hata ukiitaji blog maana skuiz kupost kwenye blog yko si lazma uwe na computer unatumia ata cm kwa kutumia program rafik ya bloger mahala popotekivipi mkuu hebu elezea basi kidogo ili wengine tuweze kupata angalau mwanga wake.
Blog ina tofauti na website?blog inalipa but kma utakuwa mvumilivu na una idea ya hiyo kitu blog inalipa saana lakini si kazi ya kufanya leo kesho upate pesa ila ukikomaa unapata pesa maana skuizi watu tuna jiajili kabisa na blog kma mm nlianza kazi mwak 2015 kma part time yangu tuu na nimewai kulipwa 2800 US dolla kwa mwezi.najua nivigumu kueleza hapa but kama utataka ushaul ni cheki 0713861568 ntakpa maelezo free na hata ukiitaji blog maana skuiz kupost kwenye blog yko si lazma uwe na computer unatumia ata cm kwa kutumia program rafik ya bloger mahala popote