Kati ya hizi nyimbo za Corona upi umekubamba?

Kati ya hizi nyimbo za Corona upi umekubamba?

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,436
1. Corona ya Rayvany
2. Corona ya beka flavour
3. Corona ya Lava Lava
4. Corona ya Dogo Silla
5. Corona ya Mzee wa Bwax
6...
7....
8....

Binafsi nimeilewa ya lava lava, ina melody kali mno sema ni vile dogo ana nyota ya kunguni kabisa no one who care about him.

Je, upande wako ipi umeilewa?
 
Sijasikia hata mmoja. Vipi zime pingwa BBC au CNN
 
Hivi huyo msanii lava lava huwa ni me? Huwa nasikia hilo jina nafikiri ni manzi!
 
Cha kushangaza nchi zilizoathirika na corona wasanii wao hata hawatungi hayo manyimbo sijui matakataka ...

Wasanii wao wako bize kutoa mafungu ya hela kusaidia huduma za afya... Rihanna juzi katoa dola million 1 sawa na billion 2 za shilingi...

Nyie wasanii wa Tanzania toeni hela hayo manyimbo hatuyataki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora ungaliweka link ya kwenda kuzisikiliza hizo nyimbo na sio orodha yako hiyo.!

Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Cha kushangaza nchi zilizoathirika na corona wasanii wao hata hawatungi hayo manyimbo sijui matakataka ...

Wasanii wao wako bize kutoa mafungu ya hela kusaidia huduma za afya... Rihanna juzi katoa dola million 1 sawa na billion 2 za shilingi...

Nyie wasanii wa Tanzania toeni hela hayo manyimbo hatuyataki.

Sent using Jamii Forums mobile app
haufatilii, cardi b kaachia nyimbo inahusu corona, na wasanii wengin wengi tu duniani ,acha uvivu wa kufatilia mambo
 
haufatilii, cardi b kaachia nyimbo inahusu corona, na wasanii wengin wengi tu duniani ,acha uvivu wa kufatilia mambo
Acha ujinga wewe

Huo wimbo loyalties zote zinaenda kwenye donation ya corona , hizo hela za nyimbo za corona za wasanii wa tanzania wanazipeleka wapi? Kama sio kunywea pombe ...

IMG_20200326_091523.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lunatoc hauna akili wew,kumbe unajua wasanii Wa nje wametunga nyimbo ,afu unapondea wasanii Wa tz ,
 
Back
Top Bottom