haufatilii, cardi b kaachia nyimbo inahusu corona, na wasanii wengin wengi tu duniani ,acha uvivu wa kufatilia mamboCha kushangaza nchi zilizoathirika na corona wasanii wao hata hawatungi hayo manyimbo sijui matakataka ...
Wasanii wao wako bize kutoa mafungu ya hela kusaidia huduma za afya... Rihanna juzi katoa dola million 1 sawa na billion 2 za shilingi...
Nyie wasanii wa Tanzania toeni hela hayo manyimbo hatuyataki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga wewehaufatilii, cardi b kaachia nyimbo inahusu corona, na wasanii wengin wengi tu duniani ,acha uvivu wa kufatilia mambo