sixlove
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 563
- 393
Habari wadau, poleni na majukumu ya kila siku. Najua katikwa hili jukwaa kuna watu wana experience na matumizi ya gari aina ya toyota mark x, na toyota crown. naomba kujuzwa yafuatayo.
1. kati ya hizo gari mbili, ipi rahisi kumudu njia zote (namaanisha rough road na lami)
2. unywaji wa mafuta ukoje kati ya hizo gari mbili
3. comfortability
4. speed
5. durability
wenye uzoefu naomba mtoe ujuzi wenu