Kati ya hizo gari Mark x au toyota crown , ipi rahisi kumudu njia zote

Kati ya hizo gari Mark x au toyota crown , ipi rahisi kumudu njia zote

Crown zinashida ya kupasuka pasuka dash board nimeshaona gari 3 za crown dashboard zimechanika inaonekana material used ni hafifu sana kwa crown
IMG_20180421_171900_808.jpg
 
Habari wadau, poleni na majukumu ya kila siku. Najua katikwa hili jukwaa kuna watu wana experience na matumizi ya gari aina ya toyota mark x, na toyota crown. naomba kujuzwa yafuatayo.

1. kati ya hizo gari mbili, ipi rahisi kumudu njia zote (namaanisha rough road na lami)

2. unywaji wa mafuta ukoje kati ya hizo gari mbili

3. comfortability

4. speed

5. durability

wenye uzoefu naomba mtoe ujuzi wenu
Pigeot
 
Hizo gari zina vegezo vinavyoshabihiana kwa karibu isipokuwa tu mvuto machoni ambao tunakuachia wewe.

Ila pia gari zote mbili zina sifa moja, sio gari muafaka rough road.
 
Back
Top Bottom