Majesta ni hatari sanaToyota Crown Majesta is another numberr ni fireeee
Hii gari bado ipo mkuu? Na ni bei gan?Njoo nikuuzie Toyota Crown hutojutia nakwambia. View attachment 716314View attachment 716315
Kuwa na speed ya 180 zote mkuu sio shida,vipi HP zake zikoje maana hili nalo ni muhimu sana kwa perfomance ya gari,gari yenye HP kubwa huwa ina nguvu sana na hii uta inotice wakati wa kuondoka,unapo overtake au unapopanda sehemu yenye muinuko..Crown ni royal car mm naipenda zaidi ni ndefu na inaspace ya kutosha tofauti na mark x. Kuhusu speed zote zinaishia 180 na ulaji wa mafuta engine pia zinafanana. So kilichobaki ni kupenda umbo tu ila mashine ni ile ile
Same Horsepower. Crwn na Mark X zinakuja na same engines, 2gr, 3gr na 4gr. Ukitaka more power tafuta Crown yenye 2grfse au mark X yenye hio engine.Kuwa na speed ya 180 zote mkuu sio shida,vipi HP zake zikoje maana hili nalo ni muhimu sana kwa perfomance ya gari,gari yenye HP kubwa huwa ina nguvu sana na hii uta inotice wakati wa kuondoka au unapopanda sehemu yenye muinuko..
Njoo pm mkuuHii gari bado ipo mkuu? Na ni bei gan?
Siipendi interior yake,hamna leather seats kwenye crownCrown ni kali zaidi ya Mark X. Interms of stability and comfortability