Hatari sikushauri ujaribu labda kama una test tu,ila mwendo mzuri wa haraka mwisho wangu ni 120kph nikiwa na gari nzuri,ila kama sio zuri mwisho ni 90-100kph.
Hatari sanaa, nilimaliza 180kph mwaka 2011 maeneo flani tanga natokea moshi nilikua na Toyota cheser gx100, hadi leo sikuwahi maliza tena naishiaga 160kph