R raslimali JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 2,351 Reaction score 2,255 Aug 2, 2026 #1 Kati ya kufungiwa kwenye chumba ukae humo mpaka ufe au utundikwe kwenye kamba,au uchomwe sindano yenye kemikali za sumu au upitishiwe umeme wa msongo mkubwa kwenye mwili wako ufe instantly, ipi kati ya hizi ni adhabu kubwa kwa serious crimes?
Kati ya kufungiwa kwenye chumba ukae humo mpaka ufe au utundikwe kwenye kamba,au uchomwe sindano yenye kemikali za sumu au upitishiwe umeme wa msongo mkubwa kwenye mwili wako ufe instantly, ipi kati ya hizi ni adhabu kubwa kwa serious crimes?
The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 6,498 Reaction score 14,946 Aug 2, 2026 #2 Hukumu ya Kifo. Yaani Jamii nzima imeridhia wewe Unyongwe 😌