Kati ya Inter Milan na Lazio nani kafuzu kucheza Uefa Champions League?

Inter ndio kafuzu hapo

Msisitizo wake hapo tena

UEFA champion league welcome INTER
 
Hii ni nje ya mada...lakini kama kuna timu iliwahi kutesa watangazaji wa televisheni wa nchi zao basi ni Greece (Ugiriki), hiyo ilikuwa mwaka 2004 walipochukua Euro Cup. Fuatilia matangazo ya kwenye clip hii tanga dakika ya 2 mpaka ya tano usikilize na kuona walivyowatesa watanazaji. Click neno youtube lilochini kulia kwenye clip kuifungua clip

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…