🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔Moja kwa moja .
Nina mpango wa kuvunja kibubu ninunue simu Kali wakuu maana nimechoka kutumia kifaa Cha mawasiliano .
Mwaka huu In Shaa Allaah mambo yakiwa mazuri nataka nitenge bajeti ya kununua simu isizidi Million 4 , sasa katika pitapita zangu simu zinazotrend sasa Duniani ni hizo.
Lengo la simu ni kwa ajili ya Matumizi tu ya kawaida , naomba wajuzi wa simu wanipe ushauri simu ipi kwa kuzingatia ujumla wa ubora na ufanisi katika kila angle itakuwa Bomba zaidi kununua ?
View attachment 3557732
#UziTayari
Duh hio simu inalingana bei na usafiri wangu GX100?!!!Moja kwa moja .
Nina mpango wa kuvunja kibubu ninunue simu Kali wakuu maana nimechoka kutumia kifaa Cha mawasiliano .
Mwaka huu In Shaa Allaah mambo yakiwa mazuri nataka nitenge bajeti ya kununua simu isizidi Million 4 , sasa katika pitapita zangu simu zinazotrend sasa Duniani ni hizo.
Lengo la simu ni kwa ajili ya Matumizi tu ya kawaida , naomba wajuzi wa simu wanipe ushauri simu ipi kwa kuzingatia ujumla wa ubora na ufanisi katika kila angle itakuwa Bomba zaidi kununua ?
View attachment 3557732
#UziTayari
Kianzio 25k kwa Mkopo Mkuu, rejesho nafikiri 1400 kila siku per year 🫣😬Shukrani , kibongo bongo ina Cost Tsh ngapi mkuu ?
Hizo ni latest phones mkuuMoja kwa moja .
Nina mpango wa kuvunja kibubu ninunue simu Kali wakuu maana nimechoka kutumia kifaa Cha mawasiliano .
Mwaka huu In Shaa Allaah mambo yakiwa mazuri nataka nitenge bajeti ya kununua simu isizidi Million 4 , sasa katika pitapita zangu simu zinazotrend sasa Duniani ni hizo.
Lengo la simu ni kwa ajili ya Matumizi tu ya kawaida , naomba wajuzi wa simu wanipe ushauri simu ipi kwa kuzingatia ujumla wa ubora na ufanisi katika kila angle itakuwa Bomba zaidi kununua ?
View attachment 3557732
#UziTayari
Battery kwa Samsung hiyo inakaa muda Gani ikiwa umeHizo ni latest phones mkuu
Hapo yoyote ule utakayochagua ni kali, iwe iPhone 17 Pro Max au Samsung Galaxy S26 Ultra
Cha kufanya angalia tu ipi inauzwa bei ya chini kuliko nyingine
Simu zote zina very high quality display, very high quality cameras, zinatunza sana chaji, zina processor strong sana, zina speaker nzuri sana, zote zina Desktop Mode na kila simu hapo imekamilika
Kwa iPhone utapata premium liquid glass design kwenye software na kwa Samsung utapata privacy display na better video stabilisation
Muhimu zaidi wakati unachagua simu highend kama hizi angalia unapenda iOS au Android. Kama unapenda iOS nunua iPhone kama unapenda Android nunua Samsung. Kuhusu ubora wa simu hapo kila simu ipo vizuri. Ni A+
Binafsi ningechukua Samsung kwa sababu ya Android na pia One UI ina customization na features nyingi kuliko iOS