Kati Ya Jonas Mkude Na Himid Mao Nani Kiungo Mkabaji Bora?

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Wote bado ni Vijana Mmoja akicheza Simba na Mwingine Azam na pia wote ni wazawa.
Tanzania tuna viungo wakabaji wengi tu ila leo ningependa kuwazungumzia hawa wawili Mkude na Himid manake hata kwenye timu ya Taifa ndo wanaitwa sana na wako pia kwenye timu Kubwa.

Je kati ya hawa wawili yupi na Kiungo mkabaji bora kwa Sasa Tanzania kwa kuzingatia msaada kwenye vilabu vyao pia Timu Taifa ya Taifa Na pia Viwango/Ufundi binafsi?

Tuweke ushabiki pembeni nimezingatia Uzawa Kwanza.
 
Jonas Mkude ni bora zaidi ya Himid Mao Ninja.
 
nataka wote wacheze mechi za kimataifa kwanza ndipo nitoe alama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…