Kati ya Jumia na Kikuu nani zaidi?

Kati ya Jumia na Kikuu nani zaidi?

Kheri007

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2019
Posts
289
Reaction score
475
WADAU NAOMBA KUFAHAMU KATI YA KIKUU NA JUMIA

YUPI ANATOA HUDUMA NZURI? NA YUPI MWENYE QUALITY NZURI?
 
Sina uzoefu wa kununua na kuletewa na hao, ila nafiliri nimewapenda KIKUU bei zao naona cheaper zaidi....
 
WADAU NAOMBA KUFAHAMU KATI YA KIKUU NA JUMIA

YUPI ANATOA HUDUMA NZURI? NA YUPI MWENYE QUALITY NZURI?
-jumia ni bidhaa toka tanzania maduka yetu ya hapa hapa
-kikuu ni mtu wa kati wanakuletea bidhaa toka china

mambo ya bidhaa nzuri na quality ngumu, sababu jumia kuna wauzaji wengi na kikuu wanatoa kwenye maduka mengi vile vile, hivyo ubora wa bidhaa utategemea na supplier/muuzaji wa bidhaa husika.

ila kwa ushauri wangu angalia kwanza kama bidhaa haipo madukani kabisa ndio uagizishie kwenye hizo site.
 
Uaminifu wao ukoje mkuu?

kikuu hata ukiwa nanjilinji wanakutumia mzigo ila jumia wame base maeneo ya mijini sana
 
Uaminifu wao ukoje mkuu?
hizi site ambazo unalipia online ngumu kuibiwa mkuu maana ni makampuni makubwa na serikali ina ya monitor, watu wanakopigwa ni hizi site za mitaani wazee wa "mikoani pia tunatuma", site kama kupatana, magroup ya facebook, zoomtanzania etc.
 
Kikuu walinipga mizingo yangu,idont recommend sir..
 
Natumiaga kikuu mara kwa mara sometimes hata nikiwa huko mabush huwa napata mzigo wangu huko huko unanifuata.
 
Binafsi KIKUU naiona iko vizuri kwenye bei ya bidhaa zao, kuhusu Quality jaribu kucheki ni bidhaa gani toka kwa nani kisha linganisha bei, mfano kama ni simu ya Samsung A10 pitia bei ya kikuu na Jumia,
 
Kikuu walinipga mizingo yangu,idont recommend sir..
mkuu kikuuu mizigo yako ikipotea unaweza kudai refund unapata double refund kama saa moja imepotea ukidai unapewa mbili..ni nzuri sana mizigo kupotea inatokea due to missallocation of cargo waweza kuwa Tanzania bahati mbaya ukaagiza mzigo na ukaset kabisa destination ni Tanzania lakini system ikakosea mzigo wako ukapelekwa congo...kuna utaratibu unatakiwa uufuate upate refund yako ni rahisi tu
 
Kwa anaye fahamu, KIKUU wanatuma mzigo kwa Posta kama mtu upo bush kabisa? Au kuna namna tofauti na posta?
 
Back
Top Bottom