Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni utaratibu gani huo mkuu,nmejaribu kuwatafuta bila mafanikio!!mkuu kikuuu mizigo yako ikipotea unaweza kudai refund unapata double refund kama saa moja imepotea ukidai unapewa mbili..ni nzuri sana mizigo kupotea inatokea due to missallocation of cargo waweza kuwa Tanzania bahati mbaya ukaagiza mzigo na ukaset kabisa destination ni Tanzania lakini system ikakosea mzigo wako ukapelekwa congo...kuna utaratibu unatakiwa uufuate upate refund yako ni rahisi tu
kwenye App ya kikuu kuna sehemu imeandikwa my kikuu kisha nenda sehemu imeandikwa refund and return something like that....halafu fuata maelekezo ila kumbuka namba ya mzigo wako..mizigo yote ina special number utatakiwa uiweke sehemu ukiona umeshindwa chat live na muhudumu wao kwenye live chat kikuuNi utaratibu gani huo mkuu,nmejaribu kuwatafuta bila mafanikio!!