mkuu kikuuu mizigo yako ikipotea unaweza kudai refund unapata double refund kama saa moja imepotea ukidai unapewa mbili..ni nzuri sana mizigo kupotea inatokea due to missallocation of cargo waweza kuwa Tanzania bahati mbaya ukaagiza mzigo na ukaset kabisa destination ni Tanzania lakini system ikakosea mzigo wako ukapelekwa congo...kuna utaratibu unatakiwa uufuate upate refund yako ni rahisi tu