michael western
JF-Expert Member
- May 7, 2014
- 544
- 259
- Thread starter
- #21
hivi kwenye uzalishaji ni kwa faida ya nani?yale mashamba si wanajilimia wao,wale mafundi na wengine au wenye fani ya udaktari si kwa ajili ya hapo tu jeshiniJWTZ bora zaidi kulinda mipaka ya nchi
JKT ni sehemu ya JWTZ ni bora zaidi kwenye uzalishaji mali na kujitegemea
Polisi ni bora zaidi kwenye kulinda raia na mali zao