Kati ya Kanye West,Lil Wayne,T.I na The Game nani zaidi?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
1256923783-gamered.jpg
t.i.jpg
600_1391456182_20130504_lilwayne_600x_1367674673_72.jpg
Kanye-West-Custon-Levis-514-1.jpg
 
the game.....ni moto mkali...ila kanye west naye si haba
 
mkuu mi nilishindwa nani mkali,maana T.I namkubali,Kanye namkubali,,Lil Wayne namkubali,ila sema kweli naona The Game namwona ni mkali wao
 
Mkali katika nini?

Kanye West ni producer/ rapper.

Unapomlinganisha na rapper kama T.I unalinganisha nini?
yap Kanye ni producer,
kwenye u-rapper na ukimfananisha na hao nani zaidi?ingawa kidizaini kama ushaonyesha unamkubali T.I
 
This is a subjective question, as all questions on art are bound to be.

Katika ku rap hapo, hakuna anayemgusa T.I.

Lil Wayne ni mpiga makelele tu aliyenyanyuliwa na Birdman.
 
kwahiyo your standing equation ni Kanye west?
 
No more To Say Lil Wayne iS Totally Wack
sikiliza wimbo wake "i'm me'
jamaa noma sana .........heheheh alichukua tuzo zote mpaka maniga wote kwa wivu wakamtoroka wakamwacha Miami.
 
wayne kawashinda wote

You've no idea go bed and have a nice dreams!

When Wayne and T.I go to jail, who would be Raped first?

Lil wayne is the birdman gay ! Kinda hollah ! How a best Rapper should be a Gay aaaaaaghhhhh :shetani:

! T.I is the best rapper ! Beyond the all bitches there !

T.I He's the bad ass in Freestyle and every thing! n not lil wayne who sound like a baby 3 years !

T.I :shetani: kill em all !
Hey Viol you should Remove the Gay on this Thread ! Who can support a Homosexualist bitch ! Lil wayne ?
 
Last edited by a moderator:

heeheehe you must be kidding,so u want to say T.I ni mtata wa free style kati ya hao?
 
Dah......the game mtoto wa california na king of south T.I ni moto wa kuotea mbali cwezi kuwacompare kabisa jamaaa ni miamba hiyo
 
This is a subjective question, as all questions on art are bound to be.

Katika ku rap hapo, hakuna anayemgusa T.I.

Lil Wayne ni mpiga makelele tu aliyenyanyuliwa na Birdman.
ofcourse,utakuwa ulimkubali kwenye whatever you like na live your life mbali na hapo hamna kitu,but zingine na wayne zina make sense na kufikirisha
 
Back
Top Bottom