Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Oya usimchulie poa Bruno Fernandez ujueAcha kumfananisha KDB na vitu vya Ajabu.
Ila Bruno Moto wa petrol mkuuWote ni wachezaji wazuri mno.
Ila kwa Upande wangu nitampendelea zaidi KDB.
KWANGU ANANIVUTIA ZAIDI.
1 .NGUVU.
2. Passing.
3. AKILI.
4. Mashuti (shooting).
Ni goal Getter mzuri zaidi.
KWANGU KDB AMEKAMILIKA ZAIDI.
Acha ujinga wewe baki kwenye kuwakaanga matichaOya mazee hapa mm kiukweli huwa nachanganyikiwa kuona Nani bora ya mwenzake, wengi mnaleta ligi za Messsi na Ronaldo, sijui Haaland na Mbappe ila mimi ligi kuu ni Kati ya Kelvin na Bruno, mmoja anacheza Man City mwingine Man United
Ebu Naomba mnisaidie who is the best player haijalishi wanacheza nafasi ipi
KDBOya mazee hapa mm kiukweli huwa nachanganyikiwa kuona Nani bora ya mwenzake, wengi mnaleta ligi za Messsi na Ronaldo, sijui Haaland na Mbappe ila mimi ligi kuu ni Kati ya Kelvin na Bruno, mmoja anacheza Man City mwingine Man United
Ebu Naomba mnisaidie who is the best player haijalishi wanacheza nafasi ipi
We nae akili zipogo kuwasema walimu tu hivi unamfananisha kdb na bruno kweli!!?Ila Bruno Moto wa petrol mkuu
Hakuna cha stable wala nini work rate ya kdb huwezi ikompare na bruno kdb ni jini sio kwenye key passesKDB anacheza team iliyo stable misimu yote halaf unataka kumlinganisha na MAGNIFICIO Bruno ambae ana fundishwa hadi na RANGNICK na ana perform
Wa kawaida Sana huyo.Oya usimchulie poa Bruno Fernandez ujue