Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,122
- 4,699
Kumfananisha KDB na Bruno ni kumkosea heshima, Bruno mlinganishe na Odergaad
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KDB alinunuliwa toka wolfsburg akiwa wa motoJapo umeanza kufatilia kamdanda juzi ndugu mleta mada..Lakini tunakujuza KDB ametokea Chelsea pale alikua anakaa benchi na aliitwa 'flop' kwa sababu alikua ni 'unga' sana..Baada ya kununuliwa kwa dau dogo kabisa na upara..kocha la boli upara akamnoa mpaka sasa anaonekana ni hatari lakini kaingia tu kwenye mifumo ya upara thus why hakuna team inayomshobokea hata waarabu hawamtaki
Usimfananishe Bruno na takataka zenu hapo cityBruno ni takataka huwezi mfananisha na fundi KDB utakua umemkosea heshima na umelikosea soka heshima kwa ujumla
KDB akiwa wolfburg kabla kuja City alikua balaa
Halafu ni mchezaji wa mechi kubwa yani amezitandika chelsea, Arsenal, Liverpool, Man united , Madrid , Barca
Halafu ana consistency hajawahi kushuka kiwango tangu miaka na miaka
Ndo umfananishe na hilo takataka la united ambalo halina hata workrate ya ilkay Gundogan
Nyumbu pale mchezaji ni mmoja tuu Casemiro, wengine wote ni takataka wakianza na bruno fernandezUsimfananishe Bruno na takataka zenu hapo city
Bruno amecheza na wout weghorst sawa
Halafu huyo debruyne kuwa wolfsburg haina maana kwenye huu mjadala
Maana hata bruno wa sporting alikua balaa
Mimi shabiki wa man u lakini usimfananishe KDB na kikaragosi much know kile
Bruno huyu timu yake ilikula 7 na yeye akiwepo! Hamna mchezaji paleKDB anacheza team iliyo stable misimu yote halaf unataka kumlinganisha na MAGNIFICIO Bruno ambae ana fundishwa hadi na RANGNICK na ana perform