Kati ya King Kaka 'Wajinga nyinyi' na Roma Mkatoliki 'Anaitwa Roma' upi umekuwa mziki uliowakosesha usingizi watawala kwa kufungia mwaka 2019?

Ati ma voters wajinga nyinyi, huu wimbo umetuunganisha East Africa nzima kutuma ujumbe, waimba kwaya wa Lumumba ya Kenya na TZ wamechanwa kinoma
This is East African comment #wajinganyinyi
 
Give respect to the king...

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
This is not even competition

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Roma kapuuzwa maskini mziki wake umeshasahaulika.
 
hv #ADMINS kwanini mliniweka #ban Watu toka 2011 hatujawahi guswa halafu mmnaniban kirahisi hivi
 
King kaka ni best sikiliza/Tizama east kwa mabeast pia ni hatariii
 
Na huyu politicians ni mjinga, ndani ya SUV anajificha aje?
Actually sisi ndio wajinga aje? Na kura bado tutapiga aje
Potholes zinahitaji lifeguard juu zimejaa maji/
Na akipita ako na 5cars,
ohh reminder hiyo ni ganji yako yaani your tax/

Basi parliament iitwe bedroom/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…