Kati ya King Kaka 'Wajinga nyinyi' na Roma Mkatoliki 'Anaitwa Roma' upi umekuwa mziki uliowakosesha usingizi watawala kwa kufungia mwaka 2019?

Kati ya King Kaka 'Wajinga nyinyi' na Roma Mkatoliki 'Anaitwa Roma' upi umekuwa mziki uliowakosesha usingizi watawala kwa kufungia mwaka 2019?

Ati ma voters wajinga nyinyi, huu wimbo umetuunganisha East Africa nzima kutuma ujumbe, waimba kwaya wa Lumumba ya Kenya na TZ wamechanwa kinoma
This is East African comment #wajinganyinyi
 
Give respect to the king...

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
This is not even competition

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Nmefuatilia hawa manguli wawili kwenye muziki wa kufokafoka R.O.M.A (Rhymes Of Magic Attraction) na KING KAKA aka Rabit aka rhymilionear na nyimbo zao mpya Wajinga Nyinyi na Anaitwa Roma ambayo kila mmoja kwa wakati wake umeleta tafaruku mbalimbali kenya na Tanzania ilipotolewa kwa kuwachana watawala wadharimu bila kuficha neno.

Jambo hili limesababisha Roma mpaka sasa kuendelea kubaki marekani wajuvi wakisema anaogopa akija kufanywa kibaya na Rabit kufikia kutishiwa maisha na kutaka funguliwa mashtaka hadi wananchi kuanzisha hashtag #istandwithkingkaka

Je, mnahisi msanii yupi ameweza iteka vizuri jamii na anastahili kupewa tuzo ya mistari bora kabisa kufungia mwaka 2019?Nawasilisha wanajamvi




Roma kapuuzwa maskini mziki wake umeshasahaulika.
 
hv #ADMINS kwanini mliniweka #ban Watu toka 2011 hatujawahi guswa halafu mmnaniban kirahisi hivi
 
King kaka ni best sikiliza/Tizama east kwa mabeast pia ni hatariii
 
Na huyu politicians ni mjinga, ndani ya SUV anajificha aje?
Actually sisi ndio wajinga aje? Na kura bado tutapiga aje
Potholes zinahitaji lifeguard juu zimejaa maji/
Na akipita ako na 5cars,
ohh reminder hiyo ni ganji yako yaani your tax/

Basi parliament iitwe bedroom/
 
Back
Top Bottom