ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kuna vipimo vingi vinavyotumika kupima Afya ya Uchumi wa Nchi.Baashi yake ni pamoja na
-Mfumuko wa bei
-Ukuaji wa GDP
-Urari wa Mauzo ya Nje
-Composition ya sekta Zinazoongoza Uchumi
-Uimara wa sekta ya Fedha/benki Kupitia faida.
-Uchumi unaozalisha Ajira
Sasa ukiangalia vigezo vingi hapo Juu Tanzania kama Nchi inafanya vizuri Sana lakini kwenye kigezo Cha sekta ya Fedha/Mabenki Nchi inafanya vizuri zaidi kiasi Cha kuandikisha rekodi na kuzivunia.
Ni katika awamu hii ya 6 ndipo Mabenki yameweka rekodi za Juu zaidi za faida na kuzivunja tena jambo linaloashiria Uchumi wa Nchi una Afya iliyonawiri.
View: https://www.instagram.com/p/DFe_LN3ux1e/?igsh=cDNqdmU0Z3huZGlu
My Take
Nitaendelea kumuunga mkono Mh.Rais maana ameonesha Kwa vitendo kwamba yeye ni reformist na Mwamba hasa wa Uchumi wa Nchi.
Nitaendelea kuyataja Mazuri ya Utawala wake bila kuchoka maana yanamnufaisha Kila Mtanzania anaejibidiisha kufanya kazi.
Namba hazidanganyi.
View: https://www.instagram.com/p/DFnkgu5IDpN/?igsh=MWprM2c0Mmc1d3UwZg==