Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hawa chawa wao wameambiwa waje kupandisha mabandiko hapa hawezi kueleza utapoteza muda wakoBenki hupata faida kwa kutoza riba kwa wanaokopa fedha na kwa kuwekeza fedha zilizowekwa kama akiba na wateja wake. Vilevile benki zetu pia zina assets zenye thamani kubwa. Ni jambo zuri kuona benki zetu zikipaa lakini kuna policy zipi za Rais zilizochangia mafanikio haya?