Kati ya Kitila Mkumbo na Mkurugenzi wa masoko BOT Emmanuel Akoro nani kapotosha umma

Dalton Elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
968
Reaction score
1,978
BBC, BLOOMBERG na BUSINESS INSIDER AFRICA wamemnukuu Waziri wenu wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango, KITILA MKUMBI akisema “Governments are no longer interested in providing aid to Africa so we are reorganizing ourselves,” mnatuona hatuelewi kitasha?

Kitila MKUMBO amewaeleza watasha kwamba wanauza akiba ya dhahabu iliyopo Benki Kuu ya Tanzania Serikali kutoka mchi wahisani na washirika hazina tena nia ya kutoa misaada kwa Afrika, kwa hivyo wanajipanga upya wenyewe. Huyu ni Waziri katika ofisi ya Rais.

Mkurugenzi wa Idara ya Masoko ya Fedha wa BoT, Emmanuel Akaro, amesema madai hayo si ya kweli na kwamba kuna upotoshaji. Sasa nani ametupotosha? Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais – Mipango, Bwana Kitila Mkumbo? Ametoa maneno hayo wapi?

Kitila Mkumbo anasema “Misaada ya nje imepungua, tunahitaji njia mbadala za kupata fedha”. Halafu Mkurugenzi wa Idara ya Masoko ya Fedha wa BoT anasema madai hayo siyo ya kweli. Kwani kuna serikali mbili za MaCCM? Nani ambaye anasema uongo?

Tunamsikiliza KITILA MKUMBO aliyezunguma akiwa London, United Kingdom na kusema kwamba Serikali imepanga kuuza sehemu ya akiba yake ya dhahabu ili kupata fedha za kusaidia kufadhili miradi mbalimbali ya miundombinu. Porojo nyingine hatusikilizi.
 
😂 😂 😂 Utawala wa chura kiziwi umefitinika!

Mwanamke akikosa hela ya vikoba na kausha damu atauza hadi vyombo vya ndani mwishowe hadi yeye mwenywe atajiuza.

Huyu bibi hana mbinu yeyote ya kutafuta hela zaidi ya kutumia chochote kilicho mbele yake.

Hii taarifa ni ya ukweli sema wameona aibu wananchi wanavyokosoa ndio wakaja kukanusha
 
BBC, BLOOMBERG na BUSINESS INSIDER AFRICA wamemnukuu Waziri wenu wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango, KITILA MKUMBI akisema “Governments are no longer interested in providing aid to Africa so we are reorganizing ourselves,” mnatuona hatuelewi kitasha?

Kitila MKUMBO amewaeleza watasha kwamba wanauza akiba ya dhahabu iliyopo Benki Kuu ya Tanzania Serikali kutoka mchi wahisani na washirika hazina tena nia ya kutoa misaada kwa Afrika, kwa hivyo wanajipanga upya wenyewe. Huyu ni Waziri katika ofisi ya Rais.

Mkurugenzi wa Idara ya Masoko ya Fedha wa BoT, Emmanuel Akaro, amesema madai hayo si ya kweli na kwamba kuna upotoshaji. Sasa nani ametupotosha? Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais – Mipango, Bwana Kitila Mkumbo? Ametoa maneno hayo wapi?

Kitila Mkumbo anasema “Misaada ya nje imepungua, tunahitaji njia mbadala za kupata fedha”. Halafu Mkurugenzi wa Idara ya Masoko ya Fedha wa BoT anasema madai hayo siyo ya kweli. Kwani kuna serikali mbili za MaCCM? Nani ambaye anasema uongo?

Tunamsikiliza KITILA MKUMBO aliyezunguma akiwa London, United Kingdom na kusema kwamba Serikali imepanga kuuza sehemu ya akiba yake ya dhahabu ili kupata fedha za kusaidia kufadhili miradi mbalimbali ya miundombinu. Porojo nyingine hatusikilizi.
Kaka uongo haujawahi kushinda,sema huwa unasambaa kwa Kasi sana
Acha waendelee kujichanganya wao kwa wao.
 
Tatizo ni yule aliyepata kura asilimia 98 na kuikimbia ikulu
 
Huyo Emannuel ameingiza siasa katika taaluma yake. Amekiri wao kazi yao ni kuikopesha serikali. Jukumu la wapi pesa hiyo inakwenda halimuhusu. Asingekubali kuingizwa katika mjadala huo, sana sana ame confirm kuwa ni kweli dhahabu inauzwa.
 
Mambo ya serikali ndivyo yalivyo, wanaongea wenyewe na kukanusha wenyewe...

Cc: Mahondaw
 
Njia mbadala ni kupunguza matumizi ya serikalini ambayo Magufuli aliyakataa na kuifanyia kazi report ya mdibiti na mkaguzi mkuu wa serikali...

Kama ilikuja almost trillion 4-5 za uviko 19 zikapigwa..kipi kituaminishe hizo mtazouza akiba ya dhahabu hazitpigwa?

Back
Top Bottom