Kati ya Koffi Olomide na Werrason Ngiama Makanda, nani mkali/tajiri?

Takwim za miaka ya tisini au current?

upo dunia ipi mkuu?unajua utajiri wa youssou ndou?...mwanamuziki tajiri namba moja africa ni youssu ndou 2.pskwea.3.dbanj 4.ndio koffi
 
Labda kwa cash, lakini bavokali, sebene hapana chezea werra.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kwa tunaofuatilia muziki wa Congo, Werason ni mwanamziki mzuri kuliko Koffi inapokuja kwenye suala la live show. Mtakumbuka show yake pale Zenith alijaza watu kuliko mwanamuziki yeyote toka Africa. Ila linapokuja suala la video na PRODUCTION. KOffi hana mfano. Na ndiyo maana kwenye nyimbo zake utasikia kofi akiimba na kuitikia kwa sauti tofauti yeye mwenyewe kitu ambacho hawezi kufanya live. Binafsi namuna Noel Ngiama Makanda aka werason dua derafore anatisha sana stajini na kutrain vijana.
 
Le Grande Papaa Fololo Mukulukulu Antoine Christophe Agbepa Mumba Koffi Olomide (Quadra Kora Man) Mutu Shilingi ni Senior
Ila hajawahi kupata rapa mzuri kama Bileku Djuna Mumbafu Peleka ya Mpasi mwanzilishi wa kulap katika miziki ya Congo akiwa na marehemu Pepe Kalle
 
Ni kweli koffe ana pesa, lakini na mashaka kama utajiri wake unafikia 47 million USD. wenye kufatilia haya mambo mtujuze
 
Labda kwa cash, lakini bavokali, sebene hapana chezea werra.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Vocals!????...beg to differ!Mopao is a million miles ahead of mutoto ya Wenge!...kwa yale madebe na nyuzi kali kali za kina kimbangu na Flamme Kapaya hapo sawa...ila mu vokali MM,Papa na Didistone,Quadra Koraman ni hatareee balaa!
 
really!???...kama nani!?walio shine baada ya kupita kwake ambao hawakua wakifahamika kabisa kabla ni kina nani!??(najua wengi wanafikiri na kuamini alimtoa Ferre!..which is wrong).Quarter Latin na BCBG NDIO ZIMEKUWA CHUO CHA MAFUNZO KWA WENGI MNO.hapa pia werra anasubiri kwa Mwalimu!
 
upo dunia ipi mkuu?unajua utajiri wa youssou ndou?...mwanamuziki tajiri namba moja africa ni youssu ndou 2.pskwea.3.dbanj 4.ndio koffi

Ok kiongozi! Nitatafit zaid kupata ukweli kama kuna changes za hivi karibuni!
 
Ni dharau kumlinganisha kubwa mopao na werason,,,,, weraaa atasubili sana.
 
Vocals!????...beg to differ!Mopao is a million miles ahead of mutoto ya Wenge!...kwa yale madebe na nyuzi kali kali za kina kimbangu na Flamme Kapaya hapo sawa...ila mu vokali MM,Papa na Didistone,Quadra Koraman ni hatareee balaa!

kwa mavocal kiboko yao wooote hapo ni Jb mpiana Mukulu 4x4 by far
 
Hawa mnasema wanahela, mbona kwenye mtandao utajiri wao hauonekani?
 
Hivi mkuu,,,huyu Wera na hasimu wake JB Mpiana Mukulu,,nani ana pesa zaidi!!
 
I choose to differ. Wera ndie aliyemlea na kukuza kipaji chake ndani ya bendi yake ya wenge maison mere. Pia wera amekuza vipaji vingi kuanzia. Waimbaji hadi wapiga vyombo. Ikumbukwe yeye ndie alikuwa mkuu wa jukwaa na Mhasibu pia makamu kiongozi wa iliyokuwa wenge bcbg. Wakina heritier watanabe, erick kapusu,depic, fabligase n.k ni zao la wera. Kuna sehemu fere anamtaja wera ndani ya vita imana "balalkisi oyo werasson mpo atambolaka six cents" wanakupeleka kwa werasson kwa kuwa anatembelea Mercedes CC 6000
 
Hivi mkuu,,,huyu Wera na hasimu wake JB Mpiana Mukulu,,nani ana pesa zaidi!!

Kwa hili sina uhakika ila tukichukulia show kama moja ya vigezo vya kupata hela nyingi basi werrason atakuwa na hela zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…