Hiram Abiff
JF-Expert Member
- Apr 14, 2013
- 896
- 676
Kwa Status ya sasa Koffi ni wa Pili baran Afrika kwa mkwanja akizidiwa na P-Square pekee!
Sio kwel Yousso N'dour anawazid wote hao p square + koffi kwa mkwanja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Status ya sasa Koffi ni wa Pili baran Afrika kwa mkwanja akizidiwa na P-Square pekee!
Sio kwel Yousso N'dour anawazid wote hao p square + koffi kwa mkwanja
Takwim za miaka ya tisini au current?
Ila hajawahi kupata rapa mzuri kama Bileku Djuna Mumbafu Peleka ya Mpasi mwanzilishi wa kulap katika miziki ya Congo akiwa na marehemu Pepe KalleLe Grande Papaa Fololo Mukulukulu Antoine Christophe Agbepa Mumba Koffi Olomide (Quadra Kora Man) Mutu Shilingi ni Senior
Labda kwa cash, lakini bavokali, sebene hapana chezea werra.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Kwa tunaofuatilia muziki wa Congo, Werason ni mwanamziki mzuri kuliko Koffi inapokuja kwenye suala la live show. Mtakumbuka show yake pale Zenith alijaza watu kuliko mwanamuziki yeyote toka Africa. Ila linapokuja suala la video na PRODUCTION. KOffi hana mfano. Na ndiyo maana kwenye nyimbo zake utasikia kofi akiimba na kuitikia kwa sauti tofauti yeye mwenyewe kitu ambacho hawezi kufanya live. Binafsi namuna Noel Ngiama Makanda aka werason dua derafore anatisha sana stajini na kutrain vijana.
upo dunia ipi mkuu?unajua utajiri wa youssou ndou?...mwanamuziki tajiri namba moja africa ni youssu ndou 2.pskwea.3.dbanj 4.ndio koffi
Vocals!????...beg to differ!Mopao is a million miles ahead of mutoto ya Wenge!...kwa yale madebe na nyuzi kali kali za kina kimbangu na Flamme Kapaya hapo sawa...ila mu vokali MM,Papa na Didistone,Quadra Koraman ni hatareee balaa!
Kwa tunaofuatilia muziki wa Congo, Werason ni mwanamziki mzuri kuliko Koffi inapokuja kwenye suala la live show. Mtakumbuka show yake pale Zenith alijaza watu kuliko mwanamuziki yeyote toka Africa. Ila linapokuja suala la video na PRODUCTION. KOffi hana mfano. Na ndiyo maana kwenye nyimbo zake utasikia kofi akiimba na kuitikia kwa sauti tofauti yeye mwenyewe kitu ambacho hawezi kufanya live. Binafsi namuna Noel Ngiama Makanda aka werason dua derafore anatisha sana stajini na kutrain vijana.
Hivi mkuu,,,huyu Wera na hasimu wake JB Mpiana Mukulu,,nani ana pesa zaidi!!