Kati ya Kundalini na Yeye Ashindaye (Yohana Mpya) kipi ni kweli na hakika?

Kati ya Kundalini na Yeye Ashindaye (Yohana Mpya) kipi ni kweli na hakika?

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,534
Reaction score
5,342
Kundalini inatokea pale ambapo chakra zako zote saba Inakuwa balanced na ukapata enlightenment. Ukajitambua basi wewe huwezi kufa, utaishi milele na milele.

Korea kusini kaibuka Yesu Mpya, anajiita Yeye Ashindaye. Anasema yeye ndiye Yohana Mpya aliyepewa siri zote za kitabu cha Agano la Kale na Jipya. Ila yeye alipewa mafumbo na siri zake zote za kitabu cha UFUNUO wa Yohana.

Na sasa tuko kwenye ujio wa pili wa Yesu. Ili upate yzima wa milele ni lazima umfuate Yeye Ashindaye
 
Kundalini inatokea pale ambapo chakra zako zote saba Inakuwa balanced na ukapata enlightenment. Ukajitambua basi wewe huwezi kufa, utaishi milele na milele...
Uzuri wake Yesu alisemaga mapema kuhusu watu watakaojiita kuwa ni Yesu, wakati macho yetu hayajawahi kumuona.

Yesu kasema Kila jicho lazima imuone.
 
Back
Top Bottom