Kati ya kupoteza ushindi au kubadili mgombea, upi uamuzi sahihi kwa vyama 2025?

Kati ya kupoteza ushindi au kubadili mgombea, upi uamuzi sahihi kwa vyama 2025?

2025 CHADEMA sisi tuko na mwamba Mbowe. Lissu asubiri kwanza au akagombee huko kwao US .
 
Neno ni moja Tu kuwa ni CCM tu yenye uwezo wa kuiongoza Tanzania.Na ni Rais Samia tu aliye chaguo la mamilioni ya watanzania uchaguzi ujao.hiyo ndio kiu ya watanzania kuhitaji utumishi wa Rais samia mpaka 2030. CCM Ndio Tumaini la watanzania.
Labda akawe diwani ktk moja ya kata pale Vwawa.
 
Baada ya utafiti haki ikitendeka ni uamuzi sahihi kwa Chama chochote.
Na kipimo Cha mgombea au mtia Nia kutokubalika ni kuanza compaign mapema.

Chama vishughulike nao.
 
Chama kitakosa wagombea kwa kosa hili. Maana majimboni saa hii ni watia nia na wabunge wanapishana kwa wajumbe hasa Wenyeviti na makatibu wa vyama.
 
Chama kitakosa wagombea kwa kosa hili. Maana majimboni saa hii ni watia nia na wabunge wanapishana kwa wajumbe hasa Wenyeviti na makatibu wa vyama.
Kwamba mkt wa chama Fulani anavunja KANUNI!!

Kofia mbili zingetenganishwa, haya mambo yangekoma.
 
Kwamba mkt wa chama Fulani anavunja KANUNI!!

Kofia mbili zingetenganishwa, haya mambo yangekoma.
Inabidi,tumeunganisha kofia na bado wabobevu mnataka kutuzidi akili sie tuishie awamu moja na sie tunataka awamu mbili kama wenyeviti wanaume. Mnatubagua kijinsia.
 
Inabidi,tumeunganisha kofia na bado wabobevu mnataka kutuzidi akili sie tuishie awamu moja na sie tunataka awamu mbili kama wenyeviti wanaume. Mnatubagua kijinsia.
Mamlaka hayana JINSIA.

Capacity ndo kitu muhimu.
 
Mamlaka hayana JINSIA.

Capacity ndo kitu muhimu.
Nakubaliana na wewe. Capacity tumeonyesha hadi ambazo hazikuwahi kuonekana kwa waliotangulia. Tuna movie mbili sasa.Anyway,nasisitiza point yangu ya mwanzo haki itanguliwe na tafiti za nani ni sahihi kwenye macho ya wengi.
 
Movie mbili? 😀
 
Movie mbili? 😀
Tuna ile ya Pira na tuna na muigizaji wa kichina iko njiani. Mambo Motomoto. Watalii wa Amerika na Europa tunao na sasa tumeenda China na branches zake za Hongkong na nyingine. Tukimaliza Arabia moja. Lengo ni kuhakikisha sekta ya utalii inaletea taifa mapato zaidi kupitia watalii tunaowavutia. Yajayo kwa kweli yanafurahisha 😅
 
Wazee wamejaribu Kutoa maoni Yao tarehe 3/1/2024.

Mzee Kinana na Ndugu Kassim Majaliwa, wamejibu kuwa " SI DHAMBI" Kuchapisha fomu Moja.

Wenye AKILI tumeelewa🙄🙄🙄🙄
 
CCM, tiketi ya ushindi wenu anayo Gwajima,

Mkimteua huyo, mtapita, mkimuacha mnazama completely, ushindi unaenda upinzani.

Tusubiri.
 
Back
Top Bottom