M mliberali JF-Expert Member Joined Jul 13, 2012 Posts 12,346 Reaction score 15,249 Jun 20, 2024 #41 Rabbon said: Ikitokea chama kimefanya Utafiti na kujiridhisha kuwa mgombea wao hakubaliki, kitashupaza shingo Ili kianguke katika uchaguzi, au kitababadili mgombea? Cc. Lucas mwashambwa Click to expand... Hicho chama kitaiba kura
Rabbon said: Ikitokea chama kimefanya Utafiti na kujiridhisha kuwa mgombea wao hakubaliki, kitashupaza shingo Ili kianguke katika uchaguzi, au kitababadili mgombea? Cc. Lucas mwashambwa Click to expand... Hicho chama kitaiba kura
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Jun 20, 2024 Thread starter #42 mliberali said: Hicho chama kitaiba kura Click to expand... Kura Huwa zinaibwa za kuongea. Ingekuwa wizi wa kura pekee watosha, wasingepiga compaign na kuhonga
mliberali said: Hicho chama kitaiba kura Click to expand... Kura Huwa zinaibwa za kuongea. Ingekuwa wizi wa kura pekee watosha, wasingepiga compaign na kuhonga
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Jan 7, 2025 Thread starter #43 Sasa kubadili mgombea ni uamuzi sahihi ikiwa maslahi ya chama yanazingatiwa!!