Kati ya Laptop na Ipad kipi ni muhimu zaid?

Kati ya Laptop na Ipad kipi ni muhimu zaid?

Lio 002

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
436
Reaction score
68
Habar wana Jf mm nina hitaji kununuwa kimojawapo kati ya Laptop au Ipad je ni kipi kati ya hiki ni muhimu zaid ya mwenzie na naomba mnitajie huo umuhimu wake upo wap zaid?

Natanguliza shukrani zangu kwenu
 
Mi nadhan unataka tofaut ya laptop na tablet maana ukitaka ujibiwe ulivoandika yatakuja mengi zaidi
 
Laptop ni muhimu zaidi inategemea na unaitumia kwa kazi ipi

Mfno: wanaoandika(reporters, typists au programmers) fani hizi zinahitahi uwe na laptop au xternal keyboard ili kumaliza kazi kwa haraka .

Ipad hizo mm naona zinafaa kwa kuperizia tu,
Mfn: docs, picha, video

Kuandika komment fupi.

Laptop ni zaidi.
 
Pamoja mkuu nashukuru kwa ufafanuzi wako
 
Inategemea mtumiaji anataka kwa matumizi gani,mfano Dalali anapenda zaidi Ipad sababu anauwezo wa kupiga picha na akaituma bila process ndefu pia anakuwa connected kwenye net bila kuunganisha kitu kama waya,usb etc,pia Laptop ina faida zake kutegemea na matumizi yako.Mimi napenda zaidi Tab.
 
Kama budget yako ya pangu pakavu nunua laptop tu Tab ni utozi tu... na ujue kuwa si kila Tab in ina GSM connectivtity ,, zingine ni WIFI tu maalum kwa vitual cities and towns ... so hata kama utadharau ushauri wetu nimekupa angalizo hilo .. waulize wauzaji kwa lugha rahisi ,,''' inatumia sim card?''
 
Kwakuchulia madem Ipad ni bora zaidi

Unajua hua naingia maramojamoja kufanya mambo yangu na kuchomoka, ila leo nimetulia nakubaini mambo mengi, kweli mzanzibar unavituko.

Kwahiyo unaniambia wadada akiona unakidude wanatia adabu? Hako kadude bwana ninako ila mimi nakawekaga kwenye mfuko wa kaki, kuna siku nipo kwenye kausafiri ketu ka Dar, Mr. Daladala nilikuwa na katecno kangu mkononi, nilikaa na bint ana s2 kiukweli kwa uzoefu wangu ile ilikuwa ni original name si mchina.

Basi nakwambia dadangu na mbwembwe za kupona mtu, yaani akikuangalia anabinua pua kana kwamba eneo limetawaliwa na hewa chafu. Basi kuna mwenzangu akanipigia simu kuniomba nijibu maswali kwenye tangazo letu, yeye alikuwa anaingia kwenye kikao.

Ndipo nililazimika kukachomoa kale ka tablet kangu kwenye bahasha ya kaki. Uongo dhambi mtoto baada ya kukaona alihamaki, kwani nilikuwa na katecno mkononi. Baada ya kimya kirefu aliniuliza kama naweza kutambua simu za Samsung original lakini pia mwisho wa siku akataka kujua bei ya kadude kangu.

Haahaa...aaaaa...chezea...vyombo...weeee!
 
Mkuu ni domo zege alitaka Tab lake limtongozee totoz hovyooo

Kwa maelezo yangu utaona katab kangu nilikaweka kwenye bahasha ya kaki, na sikukatoa mpaka jamaa alipo niomba niingie kwenye mtandao nijibu maswali kwenye tangazo letu.

Lakini pia baada ya kutoa majibu nilikarudisha kadude kangu kwenye bahasha. wakati hayo yote yanafanyika Nina huawei ascend mate 1 imetulia mfukoni ina line ya voda ila wakati huo haikuwa na kifurushi, hakika kwangu mikogo c sehemu ya Maisha yangu. Nakwambia kwa mbwembwe za mtoto yule ungetoa kila kitu.

Hivyo basi, utaona kuwa kakako c wa maujiko kama nikujuavyo mdgo wangu hupendi misifa kama akina kubwajinga.
 
Hahahahaha mtt alivyotaka kujuwa bei ya Tab yako vp ulimtajia mkuu
 
Vyote ni muhimu na bora kwa mazingira tofauti,nakushauri nunua kimojawapo halafu baadaye ununue kilichobaki ili uwe navyo vyote.
 
Back
Top Bottom