GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tambwe ni Noma Sana.
Mkuu mie ni muamini wa siasa safi,siasa za mashiko,si mwanachama wa chama chochote.Naomba kujua Mkuu Wewe ni Team Biafra au ni Team Lumumba?
Mkuu,si umekataza uvyama kwenye mada yako?Unashabikia Chama gani Mkuu kati ya CHADEMA na CCM?
Hajielewi au ana mahaba na chama fulani ndio maana anajikuta anakengeuka kanuni aliyoiweka mwenyeweMkuu,si umekataza uvyama kwenye mada yako?
KasahauMkuu,si umekataza uvyama kwenye mada yako?
Atakuj kusema, " ..usipokua great thinker huwezi kuyaelewa mabandiko ya Genta humu jukwaani..."Kasahau
Mi nipo fisiemUnashabikia Chama gani Mkuu kati ya CHADEMA na CCM?
LB7Naomba kujua Mkuu Wewe ni Team Biafra au ni Team Lumumba?
Tambwe ni mtoto wa mjini, huwezi mfananisha lolote na mshamba kama huyo Kibajaj.
Namkubali sana huyu jamaa alishawai kumpa kashi kashi waziri wa mambo ya ndani. Nikanyooshea mikonoAtakuj kusema, " ..usipokua great thinker huwezi kuyaelewa mabandiko ya Genta humu jukwaani..."
Duu sio kwa mipasho hii au ni lusinde mwenyew ninUna uhakika na ulichokiandika hapa Mkuu? Kwa taarifa yako basi kati ya hao Wawili hakuna Mtoto wa Mjini tena wa ' Kindakindaki ' kabisa kama Livingstone Lusinde ' Kibajaji ' na huyo Tambwe Hiza amekuja ' down town ' tunamuona na kumpokea pale Stesheni na Treni ya Bara miaka ya 90 hivi huku akiwa kavaa ' Kandambili / Malapa ' tena kayageuza.
UMESEMA TUWEKE UKADA PEMBENI HALAFU UNAANZA TENA KUULIZIA VYAMAUnashabikia Chama gani Mkuu kati ya CHADEMA na CCM?