Kati ya Livingstone Lusinde wa CCM na Tambwe Hiza wa CHADEMA nani anaongoza kwa madongo?

Una uhakika na ulichokiandika hapa Mkuu? Kwa taarifa yako basi kati ya hao Wawili hakuna Mtoto wa Mjini tena wa ' Kindakindaki ' kabisa kama Livingstone Lusinde ' Kibajaji ' na huyo Tambwe Hiza amekuja ' down town ' tunamuona na kumpokea pale Stesheni na Treni ya Bara miaka ya 90 hivi huku akiwa kavaa ' Kandambili / Malapa ' tena kayageuza.
KUMBE TAYARI UNAYO JIBU LA SWALI LAKO, SASA UMELETA JUKWAANI LA KAZI GANI
 
hahaha Lowasa anasema wamepata dume......sasa najiuliza huko chadema kuna majike?
 
Wekeni kwanza hayo maneno tuyapime hapa
 
Una uhakika na ulichokiandika hapa Mkuu? Kwa taarifa yako basi kati ya hao Wawili hakuna Mtoto wa Mjini tena wa ' Kindakindaki ' kabisa kama Livingstone Lusinde ' Kibajaji ' na huyo Tambwe Hiza amekuja ' down town ' tunamuona na kumpokea pale Stesheni na Treni ya Bara miaka ya 90 hivi huku akiwa kavaa ' Kandambili / Malapa ' tena kayageuza.
Wewe jamaa una akili fupi sana,
 
Mimi ni chadema pure tangu mwaka 2009 ila km ni kura ningempa living stone lusinde,ana maneno ya shombo mno,choo cha soko kina afadhali.
 
Back
Top Bottom